Habari za Hivi Punde

Watumishi Ngorongoro wapanda miti 1,000, wananchi wapewa 10,000
Na Mwandishi wetu, ArushaWatumishi wa Mamlaka ya Hifadhi ya eneo la Ngorongoro (NCAA) leo tarehe 28 machi, 2025 wameunga mkono

CAG aridhishwa ufanisi wa fedha TPA kwa mwaka wa fedha 2023/24
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) imepokea pongezi kutoka Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu

EACOP yapata ufadhili wakati ujenzi ukifikia zaidi ya 50%
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) umefikia hatua muhimu kwa
Share this Post
Habari Mchanganyiko

UNIDO yaipatia Tanzania bilioni 12 kubusti nishati safi
Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye Umoja wa Mataifa – Vienna, Naimi Sweetie Hamza

Mkakati wa uongezaji thamani madini nchini washika kasi
Na Mwandishi Wetu, Dodoma Katibu Mkuu Wizara ya Madini Mhandisi Yahya Samamba amesema kuwa, Serikali kupitia Wizara ya Madini imedhamiria

Biteko avutiwa utekelezaji wa ‘Local Content’ EACOP
Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt.Dotto Biteko ameieleza Kamati ya Kudumu ya
Share this Post
Usafiri wa Anga

Air Tanzania yarejesha safari za Afrika Kusini
Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) limepanga kuanzisha tena safari za moja kwa moja kuelekea Jonannesburg nchini Afrika Kusini. Kulingana

Mbarawa: NIT zalisheni marubani watakaotumia ndege mafunzo kwa ufanisi
Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa, ameutaka uongozi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) kuhakikisha kinazalisha marubani wa kutosha

Vitisho vya Mabomu Vyazua Taharuki Safari za Ndege India
Ndege zisizopungua 10 za mashirika tofauti ya ndege nchini India, zimelazimika kusitisha safari zake za ndege, kuchelewesha ratiba na kubadili
Share this Post
Usafiri wa Majini

Viongozi wataka jamii kulinda rasilimali za mradi wa EACOP
Na Mwandishi Wetu, Arusha Viongozi wa jamii ya watu wanaoishi pembezoni mwa miji, maarufu kama watu wa asili wamezitaka jamii zao

Wahamiaji 27 wafariki baada ya boti kupinduka pwani ya Tunisia
Wahamiaji 27 wakiwemo wanawake na watoto, wamefariki dunia wakati boti mbili zilipopinduka kwenye pwani katikati mwa Tunisia, huku watu 83

Uganda kuzindua awamu ya tatu ya utafiti wa mafuta
Uganda inatarajiwa kuzindua awamu ya tatu ya utoaji leseni ya utafiti wa mafuta katika mwaka wa fedha unaoanza mwezi Julai.
Share this Post
Usafiri wa Nchi Kavu

Maendeleo ujenzi wa barabara Wenda- Mgama wafikia asilimia 90
Na Mwandishi Wetu, Iringa Wananchi wa Kata ya Mgama, wilaya ya Iringa, wameeleza furaha yao kutokana na maendeleo makubwa ya

Barabara kuu Mwanza Mjini-Usagara kujengwa njia nne
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amesema Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi inachukua hatua za haraka kushughulikia msongamano wa magari kwenye

Kamati ya Bunge yaipongeza Serikali ujenzi vituo vipya vya kujaza gesi kwenye magari (CNG)
Serikali kupitia Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) imepongezwa kwa ujenzi wa mradi wa Kituo mama cha gesi iliyoshindiliwa
Share this Post
Habari za Michezo na Burudani

Michuano CHAN 2025 yaahirishwa hadi Agosti
Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) leo Jumanne limetangaza kuahirishwa kwa michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa

Rungu la CAF latua Simba, kucheza bila mashabiki, faini mil. 100
Shirikisho la mpira wa miguu barani Afrika (CAF) limeipiga faini ya Sh milioni 100.6 Klabu ya Simba pamoja na kuagiza

MwanaFA ashuhudia mkataba mpya utakaowajaza mamilioni wasanii wa Tz
Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma ‘MwanaFA’ ameongoza hafla ya kusaini Makubaliano ya Ushirikiano