Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imetangaza majina ya waliochaguliwa kufanya usaili nafasi mbalimbali za kazi zilizotangwa kuanzia Februari 6 hadi 19 mwaka huu.
Tangazo hilo lililotolewa na Idara ya Usimamnizi wa Rasilimali Watu na Utawala ya TRA imesema kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kwa hatua mbalimbali kuanzia Machi 29, 2025.
Soma majina ya walioitwa hapa. https://www.tra.go.tz/images/uploads/public_notice/english/Orodha_ya_Walioitwa_kwenye_Usaili_wa_Mchujo.pdf