Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imetangaza majina ya watu waliopita katika usaili wa kuandika na hivyo kuitwa kwa ajili ya kufanya usaili wa mazungumzo ya ana kwa ana.
TRA imetangaza majina hayo jana Jumamosi usiku na kueleza kuwa ratiba ya usaili huo wa mazungumzo itatolewa tarehe 29 Aprili mwaka huu kupitia tovuti ya mamlaka hiyo.
Soma majina hayo hapa: https://www.tra.go.tz/images/uploads/public_notice/english/MAJINA_YA_USAILI.pdf