Waziri Mkuu mgeni rasmi maadhimisho siku ya misitu duniani
Na Mwandishi Wetu, Dodoma Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Maadhimisho ya Siku ya Misitu Duniani itakayoenda sambamba na Siku ya Upandaji Miti Kitaifa itakayofanyika Machi 21, 2025…