Wachina kuendesha TAZARA kwa miaka 27, kumwaga trilioni 3.7
Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA), Mhandisi Bruno Ching’andu amesema Kampuni ya China Civil Engineering Construction Corporation (CCECC) itachukua usimamizi na uendeshaji wa reli hiyo…