Rais Samia azindua rasmi safari za SGR
Na Mwandishi Wetu, Dodoma Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amefanya uzinduzi rasmi wa safari za Treni ya kisasa ya umeme (SGR) kutoka Dar es Salaam kwenda Dodoma ambapo wachambuzi…
Na Mwandishi Wetu, Dodoma Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amefanya uzinduzi rasmi wa safari za Treni ya kisasa ya umeme (SGR) kutoka Dar es Salaam kwenda Dodoma ambapo wachambuzi…
Na Mwandishi Wetu, Tanga MELI kubwa iliyobeba mizigo ya tani elfu 14 kutoka nchini China imetia nanga katika bandari ya Tanga Kwa mara ya kwanza ikiwa na shehena za mizigo…
Na Mwandishi Wetu, Rukwa WAZIRI wa Kilimo, Hussein Bashe amesema sababu ya nusu ya mradi wa vihenge mkoani Rukwa kuchelewa kukamilika akitaja mgogoro uliotokea na mkandarasi, japokuwa tayari wametatua changamoto…
Na Mwandishi Wetu, Katavi RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amezindua vihenge, maghala ya kisasa na msimu wa ununuzi wa nafaka wa mwaka 2024/2025 katika…
Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Shirika la Reli Tanzania (TRC), limetangaza kuanza kwa safari ya treni ya haraka (express train) ya reli ya kiwango cha kimataifa - SGR ambayo…