Viongozi wa kimila 103 wapewa mafunzo kuhusu mradi wa EACOP
JUMLA ya viongozi wa kimila 103 kutoka makundi ya watu wa asili (VEG-IP) wanaopitiwa na Mradi wa ujenzi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika ya Mashariki (EACOP) wamenolewa na…
JUMLA ya viongozi wa kimila 103 kutoka makundi ya watu wa asili (VEG-IP) wanaopitiwa na Mradi wa ujenzi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika ya Mashariki (EACOP) wamenolewa na…
Na Mwandishi Wetu, Ruvuma Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari hapa nchini (TPA) imesema kuwa ujenzi wa bandari mpya ya kisasa wa Mbamba Bay unaogharimu kiasi cha bilioni 75.8 ni mradi…
Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika ya Mashariki (EACOP) utatoa ajira kwa vijana wazawa 143 kutoka nchini Tanzania na Uganda waliofuzu mafunzo ya kozi maalum ya nishati za…
BALOZI wa Tanzania nchini Uganda, Meja Jenerali Paul Kisesa Simuli, amewataka waandishi wa habari wa Tanzania kuchukua jukumu la kuripoti ujenzi unaoendelea wa bomba la mafuta ghafi la Afrika Mashariki…
UONGOZI wa Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrka ya Mashariki (EACOP) umesema kuwa unatambua umuhimu wa vyombo vya habari katka kuuhabarisha umma juu ya mambo mbalimbali yanayogusa jamii…
MKURUGENZI Mkuu wa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA), Dk. Andrew Komba amesema taasisi hiyo imejipanga kuongeza uwezo wa maghala kuhifadhi nafaka kati ya tani 700,000 na milioni…
WASOMI na wataalamu mbalimbali nchini wameelezea kuvutiwa kwao na utekelezaji wa mradi wa bomba la mafuta ghafi la Afrika ya Mashariki (EACOP) wakisema umekidhi vigezo vyote vinavyotakiwa kimataifa. Anaripoti Mwandishi…
MEELEZWA kuwa katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita, uwezo wa Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) ulikuwa kuuza wastani wa tani 50,000 za nafaka, lakini…
Na Mwandishi Wetu, Zanzibar Ndege mpya ya Boeing B8787- Dreamliner iliyokwama kuwasili jana Jumatatu Agosti 19, 2024 kutokana na changamoto ya hali ya hewa sasa kupokewa leo Jumanne Zanzibar. Kwa…
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam KAMISHNA Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Yusuph Mwenda amewataka mawakala wa forodha nchini kufanya kazi kwa weledi, uadilifu na kujiepusha na vitendo…