Haya hapa majina walioitwa kwenye usaili TRA
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imetangaza majina ya waliochaguliwa kufanya usaili nafasi mbalimbali za kazi zilizotangwa kuanzia Februari 6 hadi 19 mwaka huu. Tangazo hilo lililotolewa na Idara ya Usimamnizi…