Mwana Fa: Tz bado ina nafasi AFCON 2025
LICHA ya Timu ya soka ya Tanzania (Taifa Stars) kukubali kichapo cha mabao 2-0 kutoka kwa Timu ya taifa ya Congo (DRC), Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis…
LICHA ya Timu ya soka ya Tanzania (Taifa Stars) kukubali kichapo cha mabao 2-0 kutoka kwa Timu ya taifa ya Congo (DRC), Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis…
Ndege zisizopungua 10 za mashirika tofauti ya ndege nchini India, zimelazimika kusitisha safari zake za ndege, kuchelewesha ratiba na kubadili njia za safari zake baada ya kupokea vitisho vya mabomu…
Na Mwandishi Wetu, Ruvuma Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania – TAWA inatarajia kununua ndege nyuki nne aina ya DJI Mavic 3 ambazo zitapelekwa katika wilaya za Namtumbo mkoani Ruvuma…
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC), Nahodha Mussa Mandia ameiagiza TASAC kuendelea kutekeleza mikakati yenye tija ya utoaji elimu kwa wadau wote muhimu…
Kufuatia vikwazo vya Ulaya dhidi ya mashirika matatu ya ndege ya Iran, Shirika la ndege la Iran Air, limetangaza kusitisha safari zake zote za ndege kuelekea nchi za Ulaya. Iran…
Na Mwandishi Wetu, Tabora Balozi wa Uganda nchini Tanzania, Kanali (mstaafu) Fred Mwesigye amevutiwa na utekelezaji wa mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika ya Mashariki (EACOP), akisema kukamilika…
Serikali ya Uganda na kampuni ya ujenzi ya Uturuki ya Yapi Merkezi imetia saini mkataba wa kujenga sehemu ya reli yenye urefu wa kilomita 272, katika jitihada za kukuza biashara…
Na Mwandishi Wetu, Morogoro KUELEKEA mitihani ya Taifa ya Kidato cha Nne itakayofanyika Novemba 11, 2024, wahitimu wa Shule ya Sekondari Charlotte iliyopo Tungi Mkwajuni, Manispaa ya Morogoro, wametakiwa kumtanguliza…
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameeleza kuwa maono na fikra za Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere zinaendelea kuishi, na Taifa la Tanzania linaendelea kujivunia amani, mshikamano na umoja.…
Na Mwandishi Wetu, Mwanza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amezindua tawi jipya la Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) mkoani Mwanza huku…