NMB yatenga Mil. 450/- kuzawadia wateja Kampeni ya MastaBata ‘La Kibabe’
NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM BENKI ya NMB imezindua msimu wa sita wa kampeni maalum ya kuhamasisha matumizi na malipo kwa njia ya kadi ‘NMB MastaBata - La Kibabe,’…
NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM BENKI ya NMB imezindua msimu wa sita wa kampeni maalum ya kuhamasisha matumizi na malipo kwa njia ya kadi ‘NMB MastaBata - La Kibabe,’…
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Mhandisi Mwajuma Waziri amezitaka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) na Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kudumisha ushirikiano baina…
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Serikali imesema kuwa mchakato wa kutengeneza rasimu ya Sera ya kuwawezesha wazawa (Local Content) kushiriki katika shughuli mbalimbali za kiuchumi kupitia sekta mbalimbali mtambuka…
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira (DAWASA) imekutana na wananchi wa eneo la Msakuzi kwa Lubaba, Kata ya Mbezi, Wilaya ya Ubungo kwa lengo la kufahamu mipango na maendeleo…
By Staff Reporter- Havana Tanzania's Minister of Foreign Affairs and Cooperation of East Africa ,Mr. Mahmoud Thabit Kombo, has today met with Cuban Minister of Foreign Affairs, Bruno Rodríguez Parrilla.…
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma ‘Mwana FA’, amewataka Maafisa Utamaduni wa Wilaya na Mikoa kuhakikisha matamasha ya Utamaduni yanayofanyika katika maeneo yao yanafanikiwa na kuleta ushawishi…
Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam Tanzania imeiomba Kampuni ya Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika ya Mashariki (EACOP) idumishe utaratibu wa kutoa mafunzo ya juu elimu kwa Watanzania ili…
KATIKA kuongeza uelewa wa masuala ya fedha kwa maendeleo na ukuaji kiuchumi kwa Mtanzania mmoja mmoja na Taifa kwa ujumla, Benki ya NMB imezindua Programu Endelevu ya Elimu ya Fedha…
NA MWANDISHI WETU Kiboko aliyehatarisha maisha ya watu katika Kijiji cha Ilungu Kata ya Nyigogo wilayani Magu mkoani Mwanza, ameuawa na Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) baada ya…
NA MWANDISHI WETU RAIS Mstaafu Dk. Jakaya Kikwete, amekiri kuvutiwa na mchango mkubwa wa Benki ya NMB wa Sh. bilioni 1 kati ya Sh. Bil. 2.71 zilizokusanywa wakati wa hafla…