Trump ampa ulaji Elon Musk
Rais mteule wa Marekani, Donald Trump usiku wa kuamkia leo Jumatano ametangaza kuwa atamteua bilionea Elon Musk na mgombea urais wa zamani wa chama cha Republican, Vivek Ramaswamy kuongoza ldara…
Rais mteule wa Marekani, Donald Trump usiku wa kuamkia leo Jumatano ametangaza kuwa atamteua bilionea Elon Musk na mgombea urais wa zamani wa chama cha Republican, Vivek Ramaswamy kuongoza ldara…
Makamu wa Rais Dk. Philip Mpango ametoa wito kwa Mkutano wa COP29 kulipa hadhi ya kipekee suala la matumizi ya nishati safi ya kupikia katika mjadala wa kuhamasisha upatikanaji fedha…
Rais wa Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Uhalifu, ICC ya mjini The Hague, Päivi Kaukoranta amesema wameanzisha uchunguzi dhidi ya Mwendesha mashtaka mkuu Karim Khan anayetuhumiwa kwa unyanyasaji wa…
Na Mwandishi Wetu, Rukwa Serikali kupitia Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) imekamilisha ujenzi wa daraja la mto Kalambo lenye urefu wa mita 80 pamoja na ujenzi wa…
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema kuwa matumizi ya mfumo wa kielektroniki wa Baraza la Mawaziri utasaidia kuboresha utendaji kazi na kuleta ufanisi zaidi katika kuwahudumia wananchi. Amesema kuwa maboresho hayo…
Imeelezwa kuwa, mradi wa kufua umeme unaotokana na maji wa Rusumo, umeanza kuzalisha megawati 80 ambazo zinagawanywa kwa usawa wa megawati 26.6 kwa nchi ya Tanzania, Rwanda na Burundi na…
Rais Joe Biden wa Marekani anatarajiwa kujadiliana na Rais mteule Donald Trump kuhusu vipaumbele vya sera za ndani na nje, wakati watakapokutana keshokutwa Jumatano huku suala la vita vya Ukraine…
Baada ya kuiongoza Manchester United kwa ushindi wa mechi nne mfululizo, hatimaye kocha Ruud Van Nistelrooy amebwaga mikoba ya ukocha klabuni hapo na kumpisha Ruben Amorim kuendelea kuongoza klabu hiyo.…
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) amewataka Watanzania kuwaenzi mashujaa kwa kuendeleza utu, amani na ubinadamu walioupigania ili kuifanya dunia kuwa…
Na Mwandishi Wetu, Tanga Timu ya Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) imewasili mkoani Tanga kushiriki kikamilifu katika Mashindano ya Mashirika ya Umma, Makampuni na Taasisi Binafsi (SHIMMUTA) yanayoanza leo…