Rais wa kwanza mwanamke aapishwa Namibia
Netumbo Nandi-Ndaitwah ameapishwa kuwa rais wa nchi hiyo baada ya kupata ushindi katika uchaguzi mkuu uliofanyika Novemba mwaka jana ambao unarefusha utawala chama cha SWAPO kilichopigania uhuru wa taifa hilo.…