DAWASA yatoa mkono wa Eid kwa makundi ya wahitaji
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) katika hatua ya kujali na kuthamini makundi maalumu katika jamii imetoa msaada wa mahitaji ya kibinadamu katika kituo cha…
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) katika hatua ya kujali na kuthamini makundi maalumu katika jamii imetoa msaada wa mahitaji ya kibinadamu katika kituo cha…
Na Mwandishi Wetu, Pwani Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mhe. Mohamed Mchengerwa, amemtaka Meneja wa Wakala wa Barabara Mijini na Vijijini (TARURA) Mkoa wa Pwani, Mhandisi Leopold Runji, kuhakikisha…
Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwanamke Initiatives Foundation (MIF) ambaye pia ni Mbunge wa Viti Maalum, Wanu Hafidh Ameir jana tarehe 22 Machi, 2025 amekabidhi kisima cha maji katika Kijiji cha…
Na Mwandishi Wetu, Arusha Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya Wakala wa Taifa wa Uhifadhi wa Chakula nchini (NFRA) Balozi John Ulanga ameitabiria mafanikio makubwa taasisi hiyo kutokana na jitihada…
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Timu ya wataalamu 53 kutoka Ofisi ya Msajili wa Hazina (OMH) itajifungia kwa wiki mbili, kuanzia leo Jumatatu kufanya uchambuzi wa mipango na bajeti…
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza kuongeza siku mbili zaidi za zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Mkoani Dar…
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imetangaza majina ya waliochaguliwa kufanya usaili nafasi mbalimbali za kazi zilizotangwa kuanzia Februari 6 hadi 19 mwaka huu. Tangazo hilo lililotolewa na Idara ya Usimamnizi…
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imemtangaza Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Prof. Mohamed Yakub Janabi kuwa Mgombea wa Nafasi ya Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani…
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limeanza utekelezaji wa mpango kabambe wa kuimarisha njia za kusambazia umeme na kuongeza ubora wa nishati ya umeme katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa kiTANESCO…
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Dkt. Khatibu Kazungu amesema wizara itaendelea kutekeleza miradi ya uzalishaji, usafirishaji na usambazaji wa umeme ikiwa ni pamoja na kufikisha Gridi ya taifa katika…