Tanzania yaingia tatu bora nchi za Afrika kwenye mashindano
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palamagamba Kabudi amesema Tanzania ni miongoni mwa nchi tatu bora barani Afrika ambazo zimefanikiwa kuingiza timu zake kwenye michuano ya kimataifa zaidi…