NMB yadhamini, yashiriki uzinduzi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru 2025
Na Mwandishi Wetu, Pwani Leo Aprili 02, 2025, Benki ya NMB imedhamini na kushiriki uzinduzi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru 2025 kitaifa uliofanyika katika viwanja vya Shirika la Elimu…
Na Mwandishi Wetu, Pwani Leo Aprili 02, 2025, Benki ya NMB imedhamini na kushiriki uzinduzi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru 2025 kitaifa uliofanyika katika viwanja vya Shirika la Elimu…
Wizara ya Afya imetangaza kumsimamisha kazi muuguzi aliyemhudumia mkazi wa Daraja mbili mkoani Arusha Bi. Neema Kilugala ambaye amedai kubadilishiwa mtoto. Bi. Kilugala alijifungua kwa njia ya upasuaji katika Hospitali…
Tozo za viza za kuingia Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) kwa madereva wa malori wa Tanzania zitaendelea kulipwa na kwamba pande mbili zimehimizwa kuendelea na mazungumzo ya kuangalia namna…
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari nchini (TPA) imeendelea kupokea sifa za utendaji mzuri wenye tija kwa taifa kutoka kwa kamati mbalimbali za Bunge la…
Na Mwandishi Wetu SEKTA ya Uchukuzi na Usafirishaji imetakiwa kushirikiana na kujadiliana mara kwa mara, ili iweze kuongeza tija na ufanisi nchini. Hayo yamebainishwa na Ofisa Masoko Mkuu wa Mamlaka…
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Machi 29, 2025 amefanya ukaguzi wa viwanja vitakavyotumiwa kufanyia mazoezi na timu zitakazo shiriki michuano ya CHAN Agosti 2025 na AFCON 2027 kwa Ushirikiano na…
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amekabidhi Sadaka ya vyakula iliyotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan kwenye vituo mbalimbali vya…
Wananchi mkoani Mara wamesisitiza kuridhishwa na utekelezaji miradi ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA), inayotekelezwa nchini kwa lengo la kuwapatia umeme wa gharama nafuu, na wameipongeza Serikali kwa kuwafikishia miradi…
Na Mwandishi Wetu, Ruvuma Mradi wa ujenzi wa stendi ya kisasa ya mabasi katika Halmashauri ya Madaba Wilayani Songea Mkoani Ruvuma, unatarajiwa kuanza wiki ijayo kwa thamani ya Sh bilioni…
Na Mwandishi Wetu, Pwani Serikali inataka faida itokanayo na uwekezaji ‘return on investment’ katika kampuni ambazo inaumiliki wa hisa chache iongezeke kutoka asilimia saba ya sasa hadi kufikia zaidi ya…