Michuano CHAN 2025 yaahirishwa hadi Agosti
Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) leo Jumanne limetangaza kuahirishwa kwa michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa wachezaji wanaocheza ligi za ndani (CHAN) Kenya, Tanzania, Uganda 2024…
Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) leo Jumanne limetangaza kuahirishwa kwa michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa wachezaji wanaocheza ligi za ndani (CHAN) Kenya, Tanzania, Uganda 2024…
Shirikisho la mpira wa miguu barani Afrika (CAF) limeipiga faini ya Sh milioni 100.6 Klabu ya Simba pamoja na kuagiza mechi moja kuchezwa bila mashabiki. Hatua hiyo imetokana na vurugu…
Na Mwandishi Wetu, Dodoma Wizara ya Maliasili na Utalii imetakiwa kushirikiana kwa ukaribu na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi katika kukuza soko la utalii nchini na kurahisisha utoaji wa…
RAIS Samia Suluhu Hassan ameeleza kupokea kwa masikitiko taarifa za kifo cha Mkuu wa Wilaya ya Mbozi, Mkoa wa Sorngwe, Bi. Esther Alexander Mahawe kilichotokea leo tarehe 14 Januari, 2025…
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palamagamba Kabudi, amewataka wahabari nchini kuwekeza kwenye teknolojia mpya ya Akili Mnemba au Akili Unde ‘Artificial Intelligence (AI)’ huku akisema teknolojia hiyo…
KAIMU Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Magu, Mohamed Kyande amewataka maofisa ugani wa halmashauri hiyo kuhakikisha wanatumia kwa malengo yaliyokusudiwa pikipiki walizogawiwa na Serikali kwa ajili ya kuhudumia wananchi.…
Na Mwandishi Wetu, Abu Dhabi - UAE Imeelezwa kuwa Tanzania ni miongoni mwa nchi zenye rasilimali kubwa ya uwekezaji miradi ya jotoardhi ambapo jumla ya megawati 30 zinatarajiwa kuingizwa kwenye gridi…