Dk. Biteko awaongoza wananchi Bulangwa kuchagua viongozi wa serikali za mitaa
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko leo tarehe 27 Novemba 2024 amewaongoza wananchi wa Kata ya Bulangwa wilayani Bukombe mkoani Geita kupiga kura kuwachagua viongozi…